Picha ya Wakazi
Wakazi ameandika kuwa "Wabongo mbona hawajui kuchekesha hawa.No set-up, no punchline, no haymakers, no improve dah smh. I will stick with Punchline TZ".
Wakazi amepokea comments tofauti baada ya kufunguka hilo huku wengi wakisema labda yeye ndio hawajui wachekeshaji na wengine wakiunga mkono alichokieleza.