Picha ya Jux
Ngoma hiyo inaitwa 'Hello' ikiwa chini ya Prime Music Partner akiwashirikisha wasanii Mzveegh wa Ghana na DJ odje Sabboy kutoka Cape Verde.
Mpaka sasa kwa mwaka huu Hit yake ya Shugga Daddy ina views Milioni 4.7 na Enjoy yenye views Milioni 45 ina views Milioni 45 mjini Youtube. Ngoma hizo zimemfanya Jux kushine kimataifa kwa kupiga shows na collabo.