Picha ya Davido na Burna Boy
Burna Boy ametajwa kwenye vipengele vinne ambavyo ni Best global music performance, Best melodic Rap perfomance, Best African music perfomance na Best Global Music Album.
Na Davido yupo katika vipengele vitatu vya Best Global Music Performance, Best African Performance na Best Global Album.
Wasanii wengine wa Africa ambao wametajwa kuwania tuzo hizo za Grammy ni Rayvanny, Tyler The Creator, Ayra Star na Asake.