Jumatano , 25th Oct , 2023

Moja ya 'Trending Story' kwa sasa mitandaoni ni kuhusu kupewa Bilioni 1 au ukale Dinner na Mwanamuziki tajiri duniani Jay Z.

Picha ya Fid Q

Jay Z mwenyewe anasema ni bora mtu achukue hiyo pesa kuliko kula naye Dinner kama mtu anataka ushauri wake akanunue Album zake kwa sababu ameshaimba kila kitu kwenye nyimbo zake.

Anyway tuachane na huo mjadala wa Jay Z, kibongobongo tunakuuliza ni bora upewe Milioni 5 au upate Dinner na Fid Q?