![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/10/18/WhatsApp Image 2023-10-18 at 06.21.05.jpeg?itok=ANXbXUI2×tamp=1697607086)
Timu 4 zinapambana kupata nafasi 1 ya kuwakilisha Kundi C - East Division kwenye michuano ya Elite 16 ya BAL mwaka, Dynamo ya Burundi, KPA ya Kenya, Elan Cotton BBC ya Benin na Pazi ya Tanzania yenye vyuma kama Hasheem Thabit, Baraka Sadick, Erik Rugola na wengine wengi wenye ubora wa kuitetea bendera ya Tanzania.