
Huyu ni mgeni mpya mwenye ubora maradufu anatambulishwa kwetu, mbali na uwezo wake wa kuwa safi muda wote basi husifika kwa kutoruhusu uwepo wa wadudu watambaao hata bakteria kwenye eneo lake.
Hii hapa inaitwa ''epoxy floor'' kwa undani na kwa urefu zaidi utaenda kuifahamu ndani ya kipindi cha #Ujenzi Jumatano hii, usikose kutazama kuanzia saa 3:00 usiku