Ijumaa , 29th Sep , 2023

Moja kati ya story trending mitandaoni kwa sasa ni kauli ya Mama mzazi wa staa wa filamu Wema Sepetu juu ya Whozu kuishi nyumbani kwa binti yake bila kutambulishana kwa wazazi.

Kulia ni Whozu na Wema Sepetu, kushoto ni Mama Wema na binti yake

OFFAIR ya Planet Bongo imezungumzia zaidi kuhusu suala hilo bonyeza hapo chini kwenye video kuona zaidi.