Hivyo basi wagombea 5 katika usaili wa awali wameshindwa kukidhi vigezo vya kanuni
“Upande wa Uraisi kati ya 6 walio hudhuria usaili ni 5 mmoja hakwenda, kati ya 5 wanne wamekosa sifa na mmoja ndiyo kapata” Amesema Wakili Kilomoni Kibamba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Wakili Kilomoni Kibamba, amesema Kati ya wagombea 6 waliochukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Tff ni mgombea mmoja tu Wallace Karia ndiye mwenye sifa za kikanuni kati yao.