Jumatatu , 25th Sep , 2023

Msanii wa BongoFleva Lulu Diva anasema hajui idadi ya wapenzi wake wa zamani (Ma'EX) ambao alishawahi kudate nao.

Picha ya msanii Lulu Diva

Hayo amezungumza kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio inayoruka kila siku ya J3 mpaka Ijumaa saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.

Zaidi tazama hapo kwenye mahojiano yake chini.