Tiwa Savage akitumbuiza jukwaani.
Fahamu kwamba zaidi ya watu milioni 18 duniani walikuwa wanafuatilia tukio hili live.
Staa wa muziki wa Afrobeat, Tiwa Savage ni miongoni mwa wanamuziki waliopata nafasi ya kutumbuiza katika sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles III wa Uingereza, akiungana na mastaa wengine kama Kate Perry, Lionel Richie na Nicole Scherzinger.
Tiwa Savage akitumbuiza jukwaani.
Fahamu kwamba zaidi ya watu milioni 18 duniani walikuwa wanafuatilia tukio hili live.