Alhamisi , 2nd Jun , 2022

Staa Kim Kardashian hataki kabisa kuzeeka anataka kuwa Forever Young kama alivyosema Jay Z. Mama huyo wa watoto wanne ameweka wazi kwamba yupo tayari kula kinyesi kila siku ili kuoneakana mdogo.

Picha ya Kim Kardashian

Kim Kardashian amesema hilo kwenye Interview na ' The New York Times' kuhusu laini yake mpya ya utunzaji wa ngozi.

"Nitajaribu kila kitu, kama ukiniambia natakiwa kula kinyesi kila siku ili kuonekana mdogo naweza tu" amesema Kim Kardashian