
Msanii Nay wa Mitego
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kupitia kaimu katibu mtendaji Matiko Mniko alitangaza kuwa kuanzia tarehe 1 mei wataanza kutumia kanunu ya kuzipitia nyimbo mpya za wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Redio na Runinga.
Jamatatu mkali huyo wa hip hop alikuwa aachie kazi yake mpya lakini hakufanya hivyo baada ya wimbo huo kukwama kutokana na marekebisho ambayo ameamriwa na baraza kuyafanya.