Seminar kwa makundi Tano Bora
Tano bora wa mwaka huu walipata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi mbalimbali wa EATV/EARADIO.
The Winners
The winners wakielezea safari na ndoto zao katika Dance.
Super Nyamwela
Jaji wa Dance 100 (2014) akiwapa somo dancers.