Ushirikina
Brigedia Mwangela ametoa kauli hiyo mkoani Songwe wakati akiwataka viongozi wa Dini, kutojihusisha na masuala ya imani za kishirikina kwa kile alichokieleza hatawavumilia.
Mkuu huyo w Mkoa amesema ado anataarifa kuna viongozi wa Dini ambao wanaendelea kujihusisha na masuala ya ramli chonganishi.
"Mkoa huu kulikuwa na masuala ya kuchuna ngozi, licha ya Makanisa yote tuliyonayo bado kuna kero ya ramli chonganishi, ilifika hatua tulimkamata mpaka kiongozi wa dini japo kwa sasa siwezi kumtaja." amesema RC Mwangela

