mtayarishaji wa muziki bongo Lamar
Lamar ameiambia eNewz kuwa mchongo huu umepokelewa vizuri sana na mashabiki ambao wamekuwa wakimsapoti sana kutokana na ubora wa kazi zake.
Lamar amewataka mashabiki kufahamu kuwa, kwa utaratibu aliojiwekea kwa kazi hii, kila wiki atakuwa akitoa ngoma moja kali ambayo atakuwa ameitia vionjo kwa ajili ya wapenzi wa muziki kupata burudani kali.