Jumamosi , 10th Dec , 2016

Ni matayarisho ya aina yake chini ya vikosi vilivyojipanga kila idara, dakika chache kabla ya tukio la kihistoria la utoaji tuzo za EATV katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.

Sehemu maalum kwa ajili ya Red Carpet kwa VVIP

Haya ni baadhi ya maeneo  mbalimbali kuzunguka ukimbi huo, yanayoonesha kila mtu kujipanga na kila kitu kuwa pahala pake.

Kikosi cha kazi kutoka EATV kikijiweka tayari

 

 

Je, kwa matayarisho haya, unataka nini cha zaidi?

Tags: