
Ommy Dimpoz
Akipiga story ndani ya eNewz amesema analipongeza baraza hilo kwa kuwachukulia sheria wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye matusi na ambazo hazina maadili na kutengeneza maneno na mijadala isiyo ya msingi mitaani.
Hata hivyo Ommy Dimpoz hakusita kuweka wazi kuwa ana mpenzi na kuna siku atamtambulisha rasmi kupitia eNewz pia kutokumuweka wazi mpenzi wake ni maamuzi yake na hakuna ukweli juu ya usemi uliokuwa unasemwa kwamba hana 'demu'.