Jumatatu , 6th Jun , 2016

RaiswaShirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinziamewatakiakila la kheriWaislamuwotenchinikatikakipindi cha MfungowaMweziMtukufuwaRamadhaniunaoanzasasa.

RaisMalinziamewatakaWatanzaniakuendelezatunuzaamaninautulivuilikushirikikatikaibadakamainavyostahili.AmesemakufanikiwawaWaislamukatikaibadahiyonichachuyamafanikioyakilasektanahasasokaambalohupendwanamashabikiwengindaninanjeyanchi.

TFF YATANGAZA KOZI ZA UKOCHA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitiaIdarayaUfundi, imetangazakozinne (4) zaLesenizaShirikisho la SokaAfrika (CAF) zinazotarajiwakuanzaJuni 20, 2016 katikamikoayaMwanza, Morogorona Dar es Salaam.
KwaMkoawaMwanza, TFF itaendeshakoziyaleseniDarajaC. kozihiyoinatarajiwakuanzaJuni 20, 2016 hadiJulai 4, mwakahuuambakobaadhiyawashiriki 29 wamekwishakujiandikishaingawabadokunanafasi 11 ilikutimizadarasa la wanafuzni 40.

Sifazawatakaochukuakozihiyonikuwakuwanachetingaziyakati (intermediate) naumahiri (activeness).
Hiinikoziya CAF itakayoendeshwana TFF nakwambawatuwenyendotozakuwamakochawampirawamiguuwanaruhusiwakuomba.

KwaJiji la Mwanzanamikoamingineya Kanda yaZiwa, kozihiyoinaratibiwanaMakamuMwenyekitiwaKamatiyaUfundiya TFF, VedastusRufanoanayepatikanakwaNambayasimu 0753 772068 naMwalimuatakuwa Wilfred KidaoambayeniMkufunziwaukochaanayetambuliwana CAF.

Mchangokwaajiliyamkufunzinauendeshaji Sh. 200,000 kwakilamwanafunzi.
KozinyingineniyaleseniDarajaB ambayoitafanyikakuanziaJulai 1, hadiJulai 16, mwakahuumkoaniMorogoro. Kozihiyoambayomchango wake ni Sh. 300,000 kwamwanafunzitayariinawanafunzi 35 nazimebakinafasitanotunautaratibuwakuijiungaunaratibiwanaOfisiyaIdarayaUfundiya TFF iliyokoUwanjawaKarume, Ilalajijini Dar es Salaam.

KozinyingineyaleseniDaraja B inaratibiwajijini Dar es Salaam ambayokuanziaJulai 1, hadiJulai 16, mwakahuuambakowashirikiwakozihiyoniya TFF makochaambaotayariwalifanyakoziya FIFA-IOC iliyofanyikaOktoba, 2014 hivyokwasasawanatakiwakuthibitishakushirikikablayaJuni 15, 2016 katikaofisiyaMkurugenziwaUfundiwa TFF, SalumMadadi.

Nafasipiazipokwawashirikiwenginenjeyakundi la wale waOktoba, 2014 nakwambasifanikuwanaLeseniDaraja C na awe amewahikufanyakaziyaukochaangalaukwamwakammojanazaidi. MchangowakozihiyoniSh 300,000.

KadhalikakozinyinginejiyaLeseniDaraja AambayoitafanyikakuanziaJulai 17, 2016 hadiJulai 31, mwakahuukwahatuaya kwanza yaani Module 1 wakati Module 2 itafanyikaNovemba, mwakahuu. Mchangowakozihiyo la LeseniDaraja A niSh 600,000 ambayoinalipwakwapamoja.

WakufunziwakozihiyoyajuuniMakochaSalumMadadina Sunday Kayuni, kablaya CAF kumletamtoatathiminiyamatokeoyamakochahaokablayakutoaleseniyadarajahusika.

WashirikiwakozihiyowanatarajiwakuwamakochawatimuzinazoshirikiLigiKuuya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwanimsimuwamwishowamakochawaLeseniDaraja B na C nimsimuwa 2016/2017.

Kuanziamsimuwa 2017/2018 hakunakochaanayeruhusiwakuongozatimukwakukaakwenyebenchi la ufundikamahanasifayaDaraja B na C. Msimuhuuwa 2016/2017 ninafasiyamwishokwamakochawenyelesenimadarajayachinikukaa au kuongozatimuzazinazoshiriki VPL.

IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)