Submitted by Barnabas on Alhamisi , 10th Apr , 2014 Waziri Membe akipokea tuzo hiyo toka kwa Balozi wa Nigeria nchini Marekani, Profesa Adebowele Adufye Burudani pia ilikuwepo, Hapa kiongozi wa kwaya iliyoalikwa akitumbuiza Waziri Membe akionesha tuzo aliyopokea Waziri Membe akimpa mkono wa shukrani Balozi wa Nigeria nchini Marekani, Profesa Adebowele Adufye Waziri Bernard Membe akimkabidhi, Naibu spika wa Bunge Job Ndugai tuzo hiyo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata MulaMula akifurahia tuzo hiyo Naibu spika wa Bunge Job Ndugai akionesha juu tuzo hiyo