Nyota wa muziki nchini AY
AY amesema ikifika wakati wa sherehe za Xmas wengi husikiliza rekodi za magwiji wa muziki akiwemo Jim Reeves na wengineo wengi, ameamua kubadili mfumo huo kwa kutoa track hiyo ambayo kupitia enewz mkali huyo anaelezea kwa undani project hiyo mpya.