
Katibu DAREVA Yusuph Mkarambati amesema, mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwishoni mwa wiki kwa kushirikisha timu mbalimbali za mkoa wa Dar es salaam yataendelea baada ya kumaliza zoezi la kupiuga kura.
Michuano hiyo inatarajiwa kumalizika Novemba 29 mwaka huu ili ambapo maandalizi ya michuano ya taifa ya mpira wa wavu wa ufukweni yataanza ambapo DAREVA watakuwa wenyeji wa michuano hiyo.