Tambuka
Ufugaji wa kuku katika maeneo ya mijini kama jiji la Dar es salaam unavyoweza kuwa biashara inayolipa.
Tambuka
Biashara ya kuku katika soko la Shekilango Sinza jijini Dar es salaam inakuwa kwa kasi sana.
Tambuka
Biashara ya kuku wa kisasa ni kubwa katika maeneo mengi ya wafanyabishara ya kupika kuku hapa mjini.