Ripoti
Kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union, winga wa Simba, Ramadhan Singano, "Messi" avunja mlango wa kioo wa uwanja wa Taifa kwa hasira na kutaka kukamatwa na polisi waliodhani kaanzisha fujo.
Jifunze game
Mnyanyua vitu vizito,David Nyombo, anafundisha mbinu za kuujua vizuri mchezo huo
Zengwe
Licha ya makato makubwa uwanja wa taifa, watunzaji wa uwanja huo hawawajibiki vya kutosha kama ilivyoonekana wakati wa mechi ya Yanga na Azam ambapo mchezaji wa Azam David Mwantika, alipanda juu ya goli ilikuziba tundu kwenye nyavu za golini.