
msanii wa miondoko ya bongofleva nchini Bwana Misosi
Bwana Misosi ameeleza uzoefu wake na pia hisia na hali aliyokuwa nayo marehemu wakati wa kufanya kazi hiyo, amesema kuwa sasa si wakati sahihi wa kuiachia rekodi hiyo, ambayo kwake kitu kikubwa na chenye hisia nzito ambacho amebakia nacho kutoka kwa Banza Stone, kama anavyoeleza mwenyewe hapa.
