Onana pamoja na Bruno Fernandes ni miongoni mwa wachezaji waliolalamikia suala hilo, ambapo Onana kwa sasa havai tena jezi rasmi ambazo Adiddas wamewatengenezea na badala yake anavaa ambazo sio kwa ajili ya wachezaji (replica) ambazo hazimbani saana.
Wakati huo Bruno Fernandes nae havai soks rasmi, badala yake anavaa soks ambazo sio kwa ajili ya wachezaji, Adiddas watengenezaji wa jezi hizo wamesema wanafanyia kazi malalamiko hayo.