Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tembo Worriors waalikwa Michuano ya Ulaya

Alhamisi , 12th Mei , 2022

Timu ya Taifa ya Tanzania kwa mpira wa mguu kwa walemavu Tembo Warriors, imepata mwaliko rasmi wa kushiriki mashindano ya Ulaya itakayofanyika nchini Poland.

(Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa walemavu Tembo Worriors)

Mashindano hayo yanayojulikana kama Amp-Futbal Europe 2022 yanatarajia kufanyika mwezi Juni kati ya tarehe 10 hadi 13 katika mji wa Warsaw nchini Poland.

Mashindano haya yanatarajia kushirikisha nchi nne, nchi tatu kutoka bara la ulaya ambazo ni England, Italy na Poland, na nchi moja kutoka Africa. Na hivyo Tanzania ndiyo nchi pekee ya africa iliyopata mwaliko kati ya nchi 18 za Africa na nchi ya pekee kati ya nchi nne za Africa zilizofuzu kwenda kombe la Dunia.

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu kwa walemavu Tanzania TAFF ndg. Peter Sarungi amesema kwamba, Tanzania inazidi kung'ara katika mchezo huu na hii inatokana na ushiriki wa Serikali yetu na wadau wengine kusaidia kulea na kuhudumia mchezo huu nchini.

Mfano mzuri uliochukuliwa na mataifa mbalimbali ya nje ni utayari na ukubali wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kugharamia na kuandaa mashindano ya Africa (CANAF 2021) ambayo yamesaidia Africa kupata wawakilishi wa kwenda kombe la Dunia.

Pia Sarungi amesema kuwa Tembo Warriors imekuwa ni timu yenye vijana wengi kuliko timu nyingi za Ulaya na wameonekena wanafanya vizuri hasa kwa wale walioshiriki mashindano ya Africa na wale ambao wamepata nafasi ya kwenda kucheza mpira wa kulipwa.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu