kikosi cha Stand United
Mkurugenzi wa benchi la ufundi wa Stand United, Muhibu Kanu amesema kamati ya utendaji ya Stand United ipo katika mchakato wa kumpata kocha mpya ambapo mpaka sasa wamepokea CV za makocha wawili kutoka nje ya nchi na makocha wawili kutoka hapa nyumbani.
Kanu amesema, kufikia siku ya Ijumaa watatangaza jina la kocha mpya na wanategemea kuanza mazoezi na maandalizi ya msimu mpya siku ya Jumatatu ya wiki ijayo.





.jpg?itok=5cvL0YaP)