Jumanne , 28th Nov , 2023
"Mafanikio yatajengwa na Wanasimba wote hilo ndio muhimu zaidi. Kwa wachezaji sitaangalia majina bali anayefanya vizuri, kiwango cha mchezaji ndio kitafanya nimtumie."- Amesema Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha.