Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nusu fainali CECAFA U20 yafikia patamu

Jumamosi , 28th Nov , 2020

Michuano ya timu za taifa za vijana chini ya umri wa miaka 20 ukanda wa Afrika Mashariki na kati 'CEACFA U20' imefikia hatua ya nusu fainali huku timu za Ngorongoro Heroes ya Tanzania ambao ndiyo wenyeji, Kenya, Uganda na Sudan ya Kusini zikitaraji kuchuana siku ya Jumatatu Novemba 30.

Kikosi cha Ngorongoro Heroes kikiwa mazoezini

Mchezo wa nusu fainali ya kwanza Timu ya Taifa ya Vijana ya Uganda watashuka dimbani kukipiga dhidi ya Timu ya Taifa ya Vijana ya Kenya majira ya saa sita kamili mchana kwenye uwanja wa Black Rhino Academy uliopo Karatu mkoani Arusha.

Bingwa wa mchezo huo atakutana fainalii kucheza na bingwa wa mchezo wa nusu fainali ya pili ambapo wenyeji Tanzania 'Ngorongoro Heroes' wanatazamiwa kukupiga na timu ya taifa ya vijana na Sudan Kusini saa tisa na nusu alasiri pia kwenye uwanja wa Black Rhino Academy karatu jijini Arusha.

Fainali ya michuano hiyo iliyoanza tarehe 22 mwezi huu inataraji kuchezwa tarehe 2 mwezi disemba jijini Arusha huku wenyeji wa michuani hiyo timu ya vijana ya Tanzania 'Ngorongoro Heroes' inayonolewa na Jamhuri Kihwelo 'Julio' ikipewa nafasi kubwa ya kubeba kombe hilo.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa