
Kikosi cha Yanga.
Uongozi wa klabu hiyo umetangaza kikosi chake kitakachowavaa Mbao FC leo hii, mchezo utakaoanza saa kumi jioni.
Yanga watatumia mfumo wa 4:4:2 katika kikosi hiki:
1. Deogratius Munishi
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Vicent Andrew
5. Kelvin Yondani
6. Juma Saidi
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Obrey Chirwa
10. Amisi Tambwe
11. Haruna Niyonzima
Wachezaji wa akiba:
Beno Kakolanya, Oscar Joshua, Juma Abdul, Juma Mahadhi, Emanuel Martin, Geofrey mwashuiya,cDeusi Kaseke.