Marehemu Hafidh Ali Tahir
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda, amesema marehemu Hafidh alikuwa kocha mzuri katika michezo.
Awali akisoma wasifu wa marehemu kwa upande wa soka, mbunge wa Ilala, Musa Azzan Zungu, amesema wabunge wamepata pengo kubwa kwa kuondoka kwake.
Hafidh amekuwa mbunge wa Dimani na amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma alikoenda kupata matibabu kutokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu.
Wasikize hapa wakimzungumzia.........