Ijumaa , 21st Mei , 2021

Klabu ya Chelsea nayo imeripotiwa kuingia rasmi kwenye mbio za kumnasa nyota wa Tottenham Harry Kane na wako tayari kuwatoa Tammy Abraham, goli kipa Kepa Arrizabalaga na Callum Hudson-Odoi kwa makubaliano ya kubadilishana na mshambuliaji huyo nguli, wakiamini kwamba kwa kuwapa wachezaji ha

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane.

Nahodha huyo wa England mwenye miaka 27, Nia yake ya kuondoka Spurs inatarajiwa kushika hatamu mwiashoni mwa msimu huu, Huku vilabu vya Manchester City, Manchester United, Chelsea na PSG vinasemekana kuvutiwa na mchezaji huyo ambaye anathamani ya paund milioni 150 bei iliyowekwa na mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy.