Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Barcelona yatafuta mrithi wa Busquets

Jumatano , 21st Sep , 2022

Klabu ya FC Barcelona imeaanza mchakato wa kutafuta mrithi wa kiungo wake mkabaji Sergio Busquets mwenye umri wa miaka 34 anayetajwa kuwa ataondoka klabu hapo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuwa ameitumikia klabu hiyo kwa miaka 17.

Sergio Busquets ameichezea FC Barcelona kwa miaka 17

Wachezaji wanao tajwa kuwa FC Barcelona imewaorodhesha kuwa mbadala wa Busquets ni kiungo wa Wolverhampton Wanderers ya England Ruben Neves na Martin Zubimendi wa Real Sociedad ya Hispania. Dau la kumsajili Neves bado halijajulikana lakini mkataba wa Zubimendi unaonyesha anaweza kuondoka Sociedad kwa dau la Euro million 60 ambayo ni zaidi ya Bilioni 139 na milioni 452 kwa pesa ya Tanzania.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Hispania zinadai kuwa Sergio Busquets atajiunga na moja ya timu ya Ligi ya Marekani Major League Soccer. Busquets ameichezea FC Barcelona kwa misimu 15 kwenye timu ya wakubwa na miaka 2 kwenye timu ya vijana.

kwa ujumla ameichezea michezo 710 na amefunga mabao 10 tu na ameshinda mataji 30 ikiwemo ubingwa wa Ligi kuu Hispania La Liga mara 8 na ubingwa wa klabu bingwa Ulaya mara 3.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa