Jumatatu , 11th Oct , 2021

Mcheza tennis Andy Murray amefanikiwa kutinga hatua ya16 bora ya mashindano ya Indiana Wells Open baada ya kumfunga Carlos Alcarez wa Uhispanua kwa seti 3-0 yaani 5-7, 6-3 na 6-2 alfajiri ya leo Oktoba 11, 2021.

Mcheza tennisi nyota wa England, Andy Murray.

Murray ambaye anaendelea kujipa mazoezi ya nguvu ili arejee uwanhani kwa hali na mali na kurejechesha makali yale amezidi kuwapa tabasam mashabki zake kwa kufanya hivyo.

Murray sasa atakipiga na Alexander Zverev wa Ujerumnani ambaye ni bingwa wa michuano ya tennis ya Tokyo Olympic iliyomalizika mwezi Julai Mwaka huu nchini Japan kwenye hatua ya 16 bora kesho Oktoba 12, 2021 saa 3:00 usiku.