Makamu wa rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Lukelo Wililo, amesema kozi hiyo itafanyika mwaka huu na Tanzania itakuwa moja ya nchi hizo zitakazopata mafunzo hayo.
Tanzania inakosa makocha wa nyota 3, na inataraji kumwajiri kocha wa nyota 3 kutoka nchini Kenya, kuja kuwaandaa mabondia kwa ajili ya maandilizi ya mashindano ya kufuzu Olimpiki mwezi Agosti mwaka huu, nchini Brazil.