
Cristiano Ronaldo akiukokota mpira wakati Juventus ilipokua ikikabiliana na AS Roma kwenye mchezo wa Serie A uliomalizika kwa sare ya bao 2-2.

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije akitoa maelekezo.

Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu.

Mashabiki wa Yanga wakitamba katika Uwanja wa Mkapa.

Kushoto ni Dkt. Frank Hawasi akikabidhi fedha za rambirambi zilizotolewa na Rais Magufuli kwa mzee Polkap Mlelwa, Baba mzazi wa marehemu Emmanuel Mlelwa

Kocha msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi (Pichani) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kwa umakini.

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone (Pichani) akijiandaa kupiga mpira wa kona, ni mmoja ya wachezaji waliotoa pasi nyingi za mabao( 4) hadi sasa.

Marehemu Emmanuel Polycupy Mlelwa.

Chidi Benzi.