Jumamosi , 12th Apr , 2025

Kwa mujibu wa ripoti ya (ASH) Action on Smoking and Health, kutokea nchini Uingereza inasema watu zaidi ya milioni 8 hufariki kila mwaka kwa sababu ya uvutaji wa sigara

huku milioni 7 kati ya hao ni wavutaji husika na watu milioni 1.2 ni wale waliopatwa na moshi wa mvutaji wa sigara (secondhand smoke)

Ripoti hiyo pia inasema zaidi ya asilimia 80 ya wavutaji wa sigara ni watu wanaoishi kwenye kipato cha kati na cha chini, huku Myanmar na Serbia zikitajwa kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa sigara Duniani.