
Smita Srivastava mwenye umri wa miaka 46, amesema kuwa amekuwa na utaratibu wa kukuza nywele zake tangu akiwa na umri wa miaka 14,
''Katika utamaduni wa kihindi; nywele ndefu huogeza uzuri wa mwanamke, kwenye utamaduni wetu wanawake hatujazoea kunyoa nywele na ndiyo sababu wanawake wengi wanafuga nywele zao'' alisema Smita Srivastava
Cc: guinnessworldrecords