Alhamisi , 29th Sep , 2022

Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. 

Haji Manara na Mke wake Rushayna siku ya harusi yao

Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria.

Zaidi mtazame Haji Manara na mke wake wakizungumzia suala hilo.