Jumapili , 18th Feb , 2024

Hii ni orodha ya mataifa kumi (10) yanayofanya vizuri kwenye upande wa mpira wa miguu na orodha hii ni kwa mujibu wa viwango vya FIFA ambapo imezingatia ubora wa timu, Alama kutokana na mchezo husika, umuhimu wa mechi na uwezo wa mpinzani kwenye mpira.

1. Mabingwa wa kombe la Dunia 2022, Timu ya taifa ya Argentina

2. Mtetezi kombe la Dunia 2022, Timu ya taifa ya Ufaransa

3. Mabingwa kombe la Dunia 1966, Timu ya taifa ya Uingereza

4. Alitolewa mapema kombe la Dunia 2022, Timu ya taifa ya ubelgiji

5. Mabingwa kombe la Dunia mwaka 2002, Timu ya taifa ya Brazil

6. Ashkuriwe Gakpo waliubonda sana 2022, Timu ya taifa ya Uholanzi

7. Kisichoridhiki hakiliki kwa nafasi yao 2022, Timu ya taifa ya Ureno

8. Mabingwa wa zamani kwa madiba 2010, Timu ya taifa ya Hispania

9. Mtetezi kombe la Dunia 1994, Timu ya taifa ya Italia

10. Bahati haikuwa upande wao mwaka 2010, Timu ya taifa ya Croatia