.jpg?itok=awPir25V×tamp=1576997392)
Jeneza
Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.
Kwa upande wa familia za mume huyo walikubali kulipa pesa ya mahari hiyo na baada ya hapo maiti ilikubali kukunjua mikono yake ambayo ilikuwa imekunja ngumi, kisha wazee kufanya maombi na mwili huo kuzikwa.
Source Citizen Tv.