Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kati yangu na pesa, chagua pesa - Jay Z

Jumanne , 24th Oct , 2023

Baada ya mjadala kuwa mrefu mtandaoni watu wakilinganisha Bilioni 1.2 (kwa pesa ya ki-Tanzania) na kupata mlo wa jioni na Jay Z, kila mtu kuchagua upande wake hatimaye mahojiano ya Jay Z na kituo cha luninga cha CBS kikahitimisha mjadala huu.

 

Kwenye mahojiano yake na Gayle King, hakuacha kumuuliza swali ambalo wengi walikuwa wanabishania mtandaoni ''Kati ya Bilioni 1.2 (kwa pesa ya ki-Kitanzania) au mlo wa jioni pamoja na Jay Z) na alipoulizwa kuhusiana na swali hilo JayZ, hakuwa na kigugumizi kwenye kulijibu hilo kwa kusema mimi mwenyewe ningechagua pesa.

Gayle King : Kati ya Bilioni 1.2 (kwa pesa ya ki-Kitanzania au mlo wa jioni pamoja na Jay Z) ungechagua nini?
Jay Z : Ningechukua pesa,

Gayle King: Watu wanachagua kupata mlo na Jay Z kwa sababu wanahisi wanaweza kupata mawazo ambayo yakawa muhimu sana kwao

Jay Z : Jay Z tunaye kwenye muziki kwa muda sasa, siwezi kukwambia uchague chaguo baya chukua zako Bil 1.2 hiyo, jinunulie zako album za Jay Z sikiliza kwa sababu kila kitu kipo ndani ya muziki, kila nilichokihitaji nimekifikia na kila nilichosema nitakifanya nilikifanya pia, Kuna album ya ''The Blueprint'' ambayo kwangu mimi inaelezea maisha yangu na safari yangu kwa ujumla. 

Kwa mtazamo tu Jay Z kamaliza mjadala kwa ubingwa kwa kuonesha pesa ina nguvu zaidi ya watu wanavyofikiria kiasi cha yeye mwenyewe kuchagua pesa badala yake.

Picha: Black business.com
 

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea