
Picha ya Haji Manara
Manara anasema mwanaume wa kweli hawezi kuhangaika na simu ya mkewe na mwanamke jasiri hagusi simu ya mumewe.
Pia ameongeza kueleza kwamba simu zimeleta farka kubwa kwenye mahusiano mengi duniani pia kabla ya uwepo simu wachepukaji walikuwepo na hata sasa wapo pengine hawategemei mawasiliano ya mitandao wanazo njia zao za kichepuko.