Jumatano , 27th Sep , 2023

Kwa zaidi ya miaka 25 hivi sasa imekuwa kampuni kubwa na kipekee inayotoa huduma za kuaminika kwenye upande wa teknolojia, 

Picha: Noobspace, Google inasheherekea miaka 25 ya kutoa huduma mtandaoni.

Ilizinduliwa rasmi tarehe 27 septemba mwaka 1998 na marafiki wawili Sergey Brin na Larry Page, Na kuanzia mwaka 2011 waliopamua kutumia mfumo wa (WWW) ''world wide web"

 

Idadi ya watu  wanaotembelea mtandao huo imezidi kuongezeka kila uchwao, huku ikiwa na watumiaji zaidi ya milion 35 kwa mwezi,  watumiaji zaidi ya Bilion 8.5 kwa siku, watumiaji Bilioni 26.28 kwa mwezi na watumiaji Trilioni 9.5 kwa mwaka.

 

Huwenda ukawa unajiuliza ni mtandao gani unazungumziwa hapo, Ni mtandao wa Google ambao leo hii unatimiza miaka 25 ya kuwatumiakia watu ulimwenguni.