Dakika 10 tu kubuni Emoji

Jumanne , 29th Jun , 2021

Harvey Ross Ball alitumia dakika 10 tu kubuni emoji yenye sura ya tabasamu (yellow and black smiley face)

Picha ya Harvey Ross Ball

Ambapo tangu miaka ya 1950 huko imekuwa sehemu ya utamaduni maarufu ulimwenguni kote kutumia kama njia ya mawasiliano kwa kuonesha ishara ya hisia.

Harvey akiwa kama muajiriwa wa kampuni ya bima mwaka 1963 alibuni emoji hiyo kwa lengo la kuongeza ari kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo pindi ambapo ari zao zipo chini na alilipwa dola 45, zaidi ya TSh. laki 1.

Mbunifu huyo alifariki dunia mwezi  Aprili 12, 2001