Jumatano , 15th Dec , 2021

Unaambiwa hakuna kinachoshindakana hapa duniani, Binti Swaumu Hamisi 'Ummy Doll' ameibua mapya baada ya kusema anakula mende kama chakula chake na kuwafuga.

Picha ya binti anayekula mende Swaumu Hamis

Swaumu Hamisi anasema mbegu za mende hao anazichukua kutoka chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA) kwa ajili ya kuzaliana, kufuga na kufanya chakula.

Mende hao anawapika kwenye mapishi tofauti kama akiwaunga na nazi, rosti au kuwakaanga.

Zaidi mtazame hapa akizungumzia hilo.