Jumapili , 15th Mei , 2022

Hizi ni dhambi za Fashion unaweza kusema hivyo tena kwa sauti ya mtangazaji Deogratius Kithama pale kwenye Nirvana ya East Africa TV kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku.

Upande wa kushoto ni Barnaba Classic kulia Post Malone

Ni muonekano wa picha mbili tofauti wa msanii Barnaba Classic na Post Malone kutoka Marekani wakiwa wametupia mavazi ya sketi vazi ambalo huvaliwa zaidi na wanawake.

Kivazi cha msanii gani kimempendeza hapo zaidi?