Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

AY, Mwana FA waelezea ugumu wa ndoa za mastaa

Jumanne , 30th Jul , 2019

Wasanii wakubwa na marafiki wa muda mrefu kutokea hapa nchini Tanzania AY na Mwana FA, wametoa somo kwa watu wote kuhusu maisha ya urafiki wao pamoja na maisha ya ndoa zao.

AY, Mwana FA na watangazaji wa Supa Mix ya EA Radio, Mariam Kitosi na Zembwela

Wakiongea hayo kupitia Super Mix ya East Africa Radio, AY na Mwana FA waliulizwa kuhusu ugumu wa mastaa kuishi katika ndoa, urafiki wao na maisha kiujumla, ambapo Mwana FA amesema,

Kuna ugumu wa ustaa na maisha ya ndoa, ugumu upo hasa unapotaka kujichanganya na watu, kuna wakati mwingine huwezi kuongea na simu usiku, sababu ya mke wangu kwa sababu huwa najua niko kwenye upande wa familia”.

Baada ya kusema hivyo, AY naye akazungumzia kuhusu urafiki wao akisema urafiki ni lazima watu wafahamiane na wakubaliane, kutokuwa wabinafsi, kumfikiria mwenzako kwenye upande wa maendeleo. Pia akaendelea kusema yeye na Mwana FA walianza urafiki wao tangu mwaka 2002, pia urafiki wao umechangia kuleta mafanikio na maendeleo.

Aidha kuhusu maisha yao binafsi, wawili hao huwa wanatofautiana lakini kila mmoja anasimamia misimamo yake, ndiyo maana kila mtu anaficha kasoro za mwenzake, pia ni ni kutokana na historia ya maisha yao inayofanana.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu