
Sheria
Teresa Xu anatajwa kufika kwenye Hospitalim hiyo 2018 akiwa na nia ya kugandisha mayai yake katika kipindi ambacho anataka kuweka kipaumbele kwa taaluma yake.
"Nilikuja hapa kwa ajili ya kupata huduma ya kitaalam lakini badala yake nimepata mhudumu anayenisihi niachane na kazi yangu na nipate mtoto" amesema Xu
Jumatatu, Mahakama Beijing ilisikiliza kesi iliyowasilishwa na Bi. Xu dhidi ya Hospitali hiyo.
Kwa mujibu wa Uongozi wa Hospitali hiyo umesema haukufanya hivyo kutokana na sababu za kisheria za nchi hiyo.
Source BBC Swahili