
Picha ya jamaa aliyegeuzwa miguu ya Ng'ombe na mkia
Katika tukio la ajabu huko nchini Zimbabwe mwanaume mmoja amegeuzwa kuwa na miguu ya ngómbe na mkia baada ya kutembea na mke watu.
Jamaa huyo alikuwa akilia kama binadamu, lakini katikati ya kwikwi, anatoa sauti kama ng'ombe.
Source : @instablog9ja Atinka News